Soko lako la kila siku

Kariakoo Sokoni App: Fursa yako, biashara yako!

Gundua biashara zilizo karibu nawe, linganisha bidhaa na huduma, na wasiliana moja kwa moja na wauzaji. Kila siku, fursa mpya ziko karibu nawe!

Kariakoo Sokoni app welcome screen

Biashara, bidhaa na huduma

Wasiliana moja kwa moja na biashara

Ukurasa wako, unasimamiwa na timu

Tafuta biashara. Jenga mawasiliano.

Kariakoo Sokoni APP ni jukwaa la kidijitali na soko la mtandaoni linalowawezesha wafanyabiashara, wauzaji na wajasiriamali kote Tanzania kutangaza bidhaa na huduma zao, kuwafikia wateja wengi zaidi na kukuza biashara zao kupitia mtandao..

Inavyofanya kazi

Tafuta biashara yako

Tafuta biashara kwa jina, aina au eneo.

Fahamu biashara

Soma maelezo na gundua bidhaa au huduma zao.

Anza mazungumzo

Ulizia upatikanaji, bei na utaratibu moja kwa moja.

Tafuta zaidi. Mkononi mwako.

Tafauta njia za wanunuzi na biashara ndani ya app. Maombi ya kurasa za tovuti hushughulikiwa na timu yetu.

  • Soko kwenye simuGundua app kwa muundo rahisi wa kuvinjari.
  • Biashara na hudumaGundua bidhaa na huduma zinazotolewa.
  • Watu nyuma ya biasharaPata maelezo muhimu kabla ya kukubaliana.
Pakua app

Biashara yako ionekane.

Wape wateja sehemu moja ya kufahamu biashara yako na kuwasiliana nawe. Timu yetu huandaa na kusasisha ukurasa wako.

Orodhesha biashara
  • Eleza biashara yakoShiriki maelezo, picha, bidhaa au huduma zako.
  • Kiungo kimoja cha kushirikiSaidia wateja kupata taarifa za biashara sehemu moja.
  • Timu ya kukusaidiaWasiliana nasi kujadili mpango na kuomba marekebisho.

Anza kwa mazungumzo.

Chagua mpango ili kujadili masharti na timu yetu. Tunakuandalia na kusasisha ukurasa wako.

Service Seller

Tuambie huduma unazotoa na eneo unalofanyia kazi. Ulizia masharti ya sasa ya Service Seller.

Jadili mpango huu: Service Seller

Basic

Jadili ukurasa wa tovuti kwa biashara yako. Thibitisha bei na yaliyojumuishwa katika Basic na timu yetu.

Jadili mpango huu: Basic

Pro

Ulizia mpango wa sasa wa Pro na jinsi unavyofaa biashara yako. Timu yetu itaeleza masharti kabla ya kuamua.

Jadili mpango huu: Pro

Premium

Omba maelezo kamili ya Premium. Thibitisha bei, yaliyojumuishwa na utaratibu wa kusasisha na timu yetu.

Jadili mpango huu: Premium

Mwongozo unakusaidia kuanza.

Kariakoo, mkononi mwako.

Fahamu app ya Kariakoo Sokoni. Wasiliana na timu yetu kupata taarifa za kupakua.

Kariakoo Sokoni app welcome screen